Swift

Maalum kwa Viwawa jimbo la Mbulu


Ndugu viongozi wenzangu pole kwa utume.
Ninaomba niwakumbushe tena akaunti namba inayotumika kwaajili ya michango yote inahusika kwa ngazi ya jimbo ikiwa ni pamoja na ADA na ule mchango wa TSH 10000 kwa kila parokia tuliokubaliana kwenye kikao chetu cha mwisho.
Akaunti hiyo ni
NMB: *41202300390* Diocese of Mbulu Maji A/C.

NB: Unapofanya malipo haya ukumbuke kuandika ni kwaajili ya nini ili kumpunguzia majukumu yule atakae kuwa anaandika kwaajili ya kutolea taarifa baadae.

You Might Also Like

0 comments