Nenda Baba Nenda Fr Massay RIP
Kama ua la kondeni ndivyo asitawivyo. (Zaburi 103:15)
Baba siamini kama hakuko nasi tena,
Uliniagiza kushiriki utume wa vijana dekania jirani ya bashay siku ya jumapili sikujua kama ndo ulikua unaniaga nimerejea jioni naambiwa umelala na hutaamka tena😭😭
Mungu pekee ndio anaejua sikitiko langu, ulikua baba na mlezi wetu parokia ya Balangdalalu na Dekania nzima ya Katesh hasa kwenye chama chetu cha vijana (Viwawa) tumempoteza mtu muhimu sana hasa nyakati hizi za kuhitajika kwako Baba.. Tutakuenzi daima kwa kuyaishi kwa vitendo mafundisho yako,juu ya Imani yetu kwa Mwenyezi..
Nenda Baba ni hakika ya kwamba Umevipiga vita vilivyo vizuri, Mwendo umeumaliza salama na Imani yako umeilinda Daima🙏😭
Pumzika kwa amani tutaonana huko ng'ambo ya Mto😭🙏
Mwl Carol Gisimoy
#ref-menu

0 comments