WAFUATAO Wamehamia CCM leo
WAFUATAO Wamehamia CCM leo
i) Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Rombo Ndg Athuman Mohammed Kimario.
ii) Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rombo Evarist Silayo Mgoyoni.
MADIWANI Waliohamia CCM Leo
i) Simon Peter Marandu, kata ya Mrire,
ii) Justina Maliangu Mkenda, kata Kisale,
iii) Paul Adelaro Ulimalya , kata ya Aleni.
iv) Nicholaus Kimario, kata ya kitongo
Viongozi hao wamejiunga na CCM leo hii katika ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Komredi Kheri James inayoendelea Wilayani Rombo.
Sidhani kama kuna haja ya kuongeza sauti
#ref-menu

0 comments