USHUHUDA WA KWELI WA MAISHA DADA Flora Bayo Episode: 8
NI USHUHUDA WA KWELI WA MAISHA DADA Flora Bayo
HII NI SEHEMU YA NANE.
Anaandika...... ...✍️✍️✍️
Nikiwa haydom hospital. Walikuja marafiki wa kila aina wengine hata siwajui nilijisikia kupendwa sana watu walikuwa wanajaza wodi mpk wengine hata hawafanikiwi kuniona. Ingawa kati ya hao wengine wanakuja kushuhudia Kama kweli nipo hai na wengine walikuwa wananipiga picha na kupost fb.Sijaelewa hasa maana yao ila wacha tumwachie Mungu.
Kama wiki mbili nilikaa hospital then wakanipa ruhusa ya kurudi nyumbn kwa masharti ya kuwa bed rest kwa wiki sita. Basi nikarudi nyumbn ndio nikamwona mume wangu kwa furaha nilimkumbatia huku tukilia wote.
Baada ya siku chache siku moja wifi yangu alipiga simu kwa mume wangu akamwambia umeoa free masons ameua ndugu zangu tena asinitambue kama wifi huyo ni shetani kabisa. Kwanza hukuwaona wengine mpk umeooa huyo shetani muuaji?? Mume wangu akamwambia njoo nikuoe wewe kama unaona huyu hanifai. Na kama mke wangu nifre masons nami ni hivo hivo bado wewe tutakuua. Ikawa ugomvi kati yangu na yule wifi aliyeponea kwenye ajali mimi nikamnya'nganya simu mume wangu nikamwambia inatosha inatosha mwache msamehe bure. Maisha yangu ya ndoayakazidi kuwa ya huzuni Kwan nikishajua nimekuwa adui wa ndugu wa mume wangu. Kiubinadamu sikutamani kuendelea kuishi. Yule wifi akamwambia mume wangu kwnza huyo atazaa? Hakika niliumia mno. Ila sikuwa na jinsi Kwan siwezi kujitetea kwa mtu. Kulikuwa na wifi ambaye yeye hakushiriki kwenye harusi akawa amekuja kunitunza kwakuwa siwezi chochote hata uwani siwezi kwenda. Mume wake akaanza kumtumia message kuwa njoo nyumbn nimeona sehemu kuwa utatolewa kafara kama hutagongwa na gari utakufa kwa kugongwa na pkpk. Wifi hakunificha zile sms alikuwa a man I ananiambia nichati naye. Nikachati naye bila yeye mwanaume kuja nikamuuliza Kwan nani atanitoa kafara?? Akasema nasikia wifi yako ni Freemason sasa kama hutaki kuja kama unataka kufa baki okay mlete mwanagu ni heri nimlee mwanangu kwa shida kuliko atolewe kafara. Loo!! Niliona dunia inanicheka, inanizomea.
Nikiwa haydom hospital. Walikuja marafiki wa kila aina wengine hata siwajui nilijisikia kupendwa sana watu walikuwa wanajaza wodi mpk wengine hata hawafanikiwi kuniona. Ingawa kati ya hao wengine wanakuja kushuhudia Kama kweli nipo hai na wengine walikuwa wananipiga picha na kupost fb.Sijaelewa hasa maana yao ila wacha tumwachie Mungu.
Kama wiki mbili nilikaa hospital then wakanipa ruhusa ya kurudi nyumbn kwa masharti ya kuwa bed rest kwa wiki sita. Basi nikarudi nyumbn ndio nikamwona mume wangu kwa furaha nilimkumbatia huku tukilia wote.
Baada ya siku chache siku moja wifi yangu alipiga simu kwa mume wangu akamwambia umeoa free masons ameua ndugu zangu tena asinitambue kama wifi huyo ni shetani kabisa. Kwanza hukuwaona wengine mpk umeooa huyo shetani muuaji?? Mume wangu akamwambia njoo nikuoe wewe kama unaona huyu hanifai. Na kama mke wangu nifre masons nami ni hivo hivo bado wewe tutakuua. Ikawa ugomvi kati yangu na yule wifi aliyeponea kwenye ajali mimi nikamnya'nganya
Itaendeleaaaa.. .......
Gari iliyotugonga
👇👇👇 👇👇👇
👇👇👇 👇👇👇
#ref-menu

0 comments