Swift

USHUHUDA WA KWELI WA DADA Flora Bayo Episode: 1

USHUHUDA WA KWELI WA DADA Flora Bayo
SEHEMU YA KWANZA.
Unaweza kujifunza kitu kikakuinua na wewe mahali ulipo!!
Anaandika.....✍️✍️✍️
Natamani leo niwashirikishe ushuhuda mfupi kuhusu mimi. Ila nitakuwa napost hatua kwa hatua. Nina hatua kuu kama tatu yenye historia katika maisha yangu. Ninaitwa Flora Faustine kwa wasionifahamu. Nilizaliwa 1992. Nikiwa na umri wa miaka nane yaani 1999 niliugua mguu mmoja wa kushota. Wazazi wangu hawakuwa na uwezo hivyo nikakaa nyumbn bila kupelekwa hospital kwa muda usiopungua miezi mitatu nikiwa kitandani tu. Baada ya wazazi kupata hela nikapelekwa hospital moja inaitwa dareda. Nikakaa............itaendelea

You Might Also Like

0 comments