Swift

USHUHUDA WA KWELI WA MAISHA YA DADA Flora Bayo Episode: 9


NA HII NI SEHEMU YA TISA
USHUHUDA WA KWELI WA MAISHA YA DADA Flora Bayo
Anaandika.....✍️✍️✍️
Maisha yakaendelea. Nikamwambia Mungu kabla ya ile tarehe na mwezi wa ajali kufika naomba niwe na mtoto ili maumivu yapungue. Mungu si Adhumani akanijalia kuwa na katumbo katikati ya huzuni angali hata bado sijapona vizuri ila kwasbabu ya maneno ya watu kunisema viby kuwa siwezi kuzaa nikaamua kubeba mimba. Siku zikasogea katumbo kwa mbali kikaanza kuonekana. Mpk miezi nane tumbo langu lipo kwa mbali huwezi kunitambua kirahisi. Miezi tisa watu wakaanza kuulizana mbona ni kama ana mimba??
Mimi nacheka tu moyoni. Nikaendelea kufanya shughuli zangu za kawaida. Mungu ni mwema sijateseka kwa namna yoyote wala sijapewa bed rest. Nikurudishe kidogo nyuma nikiwa na miezi minne ndio nilianza clinic. Nesi akamwita Dr akasema vip atajifungua akiwa na miezi saba au ataweza kufikisha tisa Dr akasema ngoja tuone miezi saba. Ikifika. Nikiporudi nyumbn nikaendelea kumwimbia Mungu najua ni kusudi lako mimi kuwa na mimba ikiwa upo upande wangu naomba nifikishe miezi tisa kwa utukufu wako. Siku zikasonga miezi ikasonga mbele. Nikajiandaa kwenda hospital (jina imehifadhiwa)
Itaendelea......

You Might Also Like

0 comments